Saturday, August 25, 2012

DR SLAA ALIPO TUA IGUNGA KUWASHUKURU WANA IGUNGA
LEO KUMEFANYIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOHUTUBIWA NA VIONGOZI
 MBALI MBALI WA CDM, LENGO LA MKUTANO LILIKUWA NI KUPONGEZANA
WANA CHADEMA KWA USHINDI WA KESI, 

KATIKA MKUTANO HUU DR. SLAA
AMEWAPONGEZA WANANCHI WA IGUNGA KATIKA KUFANIKISHA USHIND
I WA KESI HII KWANI WALIJITOLEA KWA HALI NA MALI, PIA AMEWAAMBIA
 POLISI WAEPUKE KUTUMIKA KISIASA KWANI MWISHO WA SIKU UHAIBIKA
KWA KUKAMATA WANANCHI WASIO NA HATIA NA KUWAACHIA HURU KAMA
WAKIONA HAWAWEZI KUACHA BASI WAVUE UNIFORM NA WAINGIE KWENYE
 ULINGO

WA SIASA. PIA AMEGUSIA TAMKO LA CCM KUTAKA KUKATA RUFAA
 JUU YA HUKUMU ILIYOTOLEWA NA AMESEMA KILA KIPENGELE KILICHOTOLEWA
 HUKUMU KINA USHAHIDI MADHUBUTI HIVYO CCM WATAJISUMBUA BURE KUKATA
 RUFAA. PIA AMEZUNGUMZIA SUALA LA MAGUFULI KUUGANGANYA UMMA WAKATI
WA KESI KUWA NI MGONJWA MAHUTUTI NA KUSHINDWA KUJA KUTOA USHAHIDI
WAKATI HUOHUO ADUBUHI AKIONEKANA KUJIBU MASWALI BUNGENI NA HII


DR. SLAA AMESEMA KAMA SERIKALI INAKUWA NA WAZIRI ANAYEDANGANYA
ADHARANI NA MAKUSUDI BASI HAPO HAKUNA SERIKALI KWA HIYO KAMA
KIKWETE ANGEKUWA KIONGOZI MADHUBUTI ANGEKUWA AMEKWISHA
MFUKUZA KAZI MAGUFULI KWA UONGO ULIOIDHALILISHA SERIKALI YAKE.
 MWISHO AMEWATAKA WANACHI WA IGUNGA KUSHIRIKI SENSA KIKAMILIFU
KWANI NI MUHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU.


No comments:

Post a Comment