Monday, July 9, 2012

USAJILI NA TETESIINASEMEKANA TIMU YA AC-MILAN IPO MBIONI KUINASA SAINI YA MCHEZAJI WA MAJOGOO WA JIJI KUTOKA ANFIELD "LIVERPOOL", ANDY CAROLL


type=text


PIA KUNATETESI YA KWAMBA KIUNGO WA CHELSEA FRANK LAMPAD HUENDA AKAELEKEA KWENYE TIMU YA BECKHAM , LOS ANGELS GALAXY

 


PIA KUMEKUA NA TETESI ZA MATAJIRI NA MABINGWA WA LIGI YA UINGEREZA MANCHESTER CITY KUMMEZEA MATE "MTOTO WA JIRANI YAO" MANCHESTER UNITED NANI NA KUMEKUA NA TAARIFA YA KUWA WAMEKUA WAKIFUATILIA NYENDO ZAKE.


NA KUNA TETESI YAKUA MAJOGOO WA JIJI, LIVERPOOL WAMOMBIONI WAKIINYATIA SAIN YA MCHEZAJI CLINT DEMPSEY KUTOKA FULLHAM

SEYDOU KEITA MBIONI KUTUA KWENYE KLABU MOJA YA UCHINA IITWAYO DALIAN AERBIN KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI NA NUSU
.

No comments:

Post a Comment