Wednesday, July 11, 2012

SENSA NA KIPENGELE CHA DINI.


 

KUMEKUWEPO NA UPOTOSHAJI JUU YA MADAI YA WAISLAM JUU YA LIPENGERE CHA DINI KATIKA SENSA
KWANZA KABISA SERIKALI YA CCM NDIO WANAOLETA UDINI KATIKA NCHI NA KUWAGAWA WATANZANIA:
1.MTU ANAPO KAMATWA ANAULIZWA DINI WAKATI POLISI NA SERIKALI HAWANA DINI. HAPA HAKI HAIWEZI KUTENDEKA HASA INAPO ONEKANA MTOA HAKI ANATAKA KUJUA DINI
2.MTUHUMIWA ANAPOPELEKWA MAHAKAMANI ANAULIZWA DINI YAKE NA KULAZIMISHWA KUAPA KWA DINI KINYUME NA VITABU VYA DINI.
3.WAFUNGWA NA MAHABUSU WANAFUNGWA NA KUHIFADHIWA KWA DINI JAMBO AMBALO NI HATARI KWA UTAIFA.TUMETEMBELEA MAGEREZA MENGI TUKAONA SERIKALI HIYO HIYO IMEWAFUNGA WATU NA KUELEZEA KIPENGERE CHA DINI AMBAPO TUMEBAINI KUWA WAFUNGWA WENGI NI WAILAMU
4.WANANCHI WANALAZIMISHWA KUAPA MAHAKAMANI MBELE YA MAKALANI WA MAHAKAMA NA MAHAKIMU WAMEKUWA MIUNGU WATU
5.IKULU YA DSM INAAPISHA WATU KWA DINI NA TUMEFUATILIA NA KUGUA KUWA TANGIA IKULU IANZE KUAPISHA WATU , WAKRISTO WENGI WAMEAPISHWA.
6.BUNGENI WABUNGE WANA APISHWA KWA DINI ZAO NA TANGIA UHURU WABUNGE WAKRISTO NDIO WANAO TAWALA NCHI HII HUKU WAISLAM WAKIHUJUMIWA.
7.WAGOMBEA UBUNGE NA URAIS WANALAZIMISHWA KUAPA MAHAKAMANI KW KIPENGELE CHA DINI NA KUMUASI MUNGU NA NDIO MAANA LAANA IMELIKUMBA TAIFA NA MACHAFUKO YA MIGOMO.
HOJA NI KWAMBA KAMA SERIKALI INAAPISHA WATU KWA DINI ZAO BASI KATIBA YA NCHI ITAMBUE UWEPO WA MUNGU ILI IWE SHERIA VINGINEVYO WATU WANANYANYASWA NA KUMUASI MUNGU KWA KULAZIMISHWA KUAPA!!!
KAMA SERIKALI HAITAKI UDINI KATIKA SENSA BASI WAONDOE UCHAFU HUO KATIKA MIHIMILI YOTE YA DOLA KWA MAANA YA SERIKALI( IKULU) , BUNGE, NA MAHAKAMA!!
NI JAMBO LA AJABU KUONA KUWA CCM INAPINGA PINGA UDINI NDIYO IMEKUWA YA KWANZA KUCHOCHEA UDINI KATIKA SUIASA KWA MASLAHI YA UTAWALA.
ILANI YA CCM 2005 INA KIPEGERE NA UDINI KUWAGAWA WAISLAM!!No comments:

Post a Comment