Thursday, July 12, 2012

LEO TUPO NEWCASTLE UNITED "POMPEY"

KOCHA WA NEWCASTLE UNITED ALAN PARDEW ALONGA

HAONI KAMA KUNA DALILI YOYOTE YA KUONDOKA KWA MSHAMBULIZI TEGEMEO KWA SASA DEMBA BA. ALISEMA "HAJAZUNGUMZA NAMI KUHUSU KUONDOKA BILA SHAKA ATAKUA ANAFURAHIA MAISHA YA MJI HUU PAMOJA NA WATU WAKE PIA NA WASHABIKI WAHAPA WANAMPENDA"
"BADO NINGUZO MUHIMU KWA MUSTAKABALI WA BAADAE WA TIMU HII"

CABAYE
 
AKIZUNGUMZIA SUALA LA MCHEZAJI WAKE CABAYE AMBAYE KUMEKUA NA TAARIFA YAKUWA ANATAKIWA NA MAGWIJI WA SOKA, BARCELONA PADEW AMESEMA OFA KUTOKA BARCELONA YA KUMTAKA CABAYE NI "HELA-MBUZI" HIVYO BARCELONA WAJIPANGE NA WAONGEZE DAU ILI KUWEZA KUPATA HUDUMA ZA MCHEZAJI HUYO MSIMU UJAO.


JON HARLEY
Harley: Set for trial period

TIMU HII YA NEWCASTLE PIA IMEMNASA KWAAJILI YA MAJARIBIO KINDA WA ZAMANI WA CHELSEA JON HARLEY.

CARROL
KOCHA PADEW ALIGOMA KUONGELEA MPANGO WAKE DHIDI YA MSHAMBULIAJI WA LIVERPOOL ANDY CARROL......

 
KAMA VILE HAITOSHI

No comments:

Post a Comment