Friday, July 13, 2012

KINACHOENDELEA SYRIAWANAHARAKATI WA UPINZANI NCHINI SYRIA WAMESEMA KUWA WANAJESHI WANAOUNGA MKONO SERIKALI YA NCHI HIYO WAMEWAUAWA RAIA KATIKA MKOA WA HAMA KATIKATI MWA NCHI HIYO.
WANAHARAKATI HAO WAMEWANUKUU MASHUHUDA WANAODAI KUWA ZAIDI YA RAIA MIA MBILI WALIUAWA KATIKA KIJIJI CHA TREMSEH.
SHIRIKA LA HABARI NCHINI HUMO LIMESEMA KUWA WANAJESHI WA SERIKALI WAMEKABILIANA NA WATU WALIOKUWA NA SILAHA KATIKA KIJIJI HICHO NA KUWA WATU WENGI WANAOSHUKIWA KUWA MAGAIDI WALIUAWA.
RIPOTI ZINASEMA WAPIGANI WA SHABBIHA WALIWAFYATULIA RISASI WATU KATIKA KIJI KIMOJA BAADA YA KIJIJIHICHO KUSABULIWA NA KWAMABOMU NA MAKOMBORA.
SHIRIKA LA HABARI NCHINI HUMO LIMESEMA KUWA WANAJESHI WA SERIKALI WAMEKABILIANA NA WATU WALIOKUWA NA SILAHA KATIKA KIJIJI HICHO NA KUWA WATU WENGI WANAOSHUKIWA KUWA MAGAIDI WALIUAWA

No comments:

Post a Comment