Thursday, July 12, 2012

HALIMA MDEE AFUNGUKA



“KAMBI YA UPINZANI INAITAKA SERIKALI ILIELEZE BUNGE LAKO TUKUFU UHALALI WA MKATABA KATI YA GAME FRONTIERS NA URANIUM RESOURSES PLC NA WESTERN METALS! NI SHERIA IPI INAYOIPA KAMPUNI YA UWINDAJI HAKI YA KUALIKA KAMPUNI YA NJE KWENYE ENEO AMBALO HAINA UMILIKI KUFANYA UTAFITI NA HATIMAYE KUCHIMBA MADINI HATARI KAMA URANI,,”ALIHOJ

“HALI KADHALIKA, SHERIA YA ARDHI YA MWAKA 1999, SHERIA NAMBA 4 YA MWAKA 1999 NA SHERIA YA ARDHI YA VIJIJI, SHERIA NAMBA 5 YA MWAKA 1999 INATAMKA BAYANA KWAMBA ARDHI INAJUMUISHA VITU VYOTE VILIVYO JUU YA ARDHI NA CHINI YA ARDHI ISIPOKUWA MADINI AU MAFUTA NA GESI”.
“NIMEPITIA SHERIA ZA UHIFADHI WA WANYAMAPORI, THE WILDLIFE CONSERVATION ACT, 1974 (SHERIA YA ZAMANI) NA SHERIA MPYA THE WILDLIFE CONSERVATION ACT, ACT NO 5 OF 2009. SHERIA HIZI ZINAMRUHUSU MTU ALIYE NA LESENI YA UWINDAJI, KUWINDA WANYAMA TU,”
MDEE ALISEMA KAMPUNI YA UWINDAJI YA GAME FRONTIERS OF TANZANIA LIMITED INAYOMILIKIWA MOHSIN M. ABDALLAH NA NARGIS M. ABDALLAH, IMEINGIA MKATABA NA KAMPUNI MBILI ZA KIGENI ZINAZOFANYA UTAFITI WA UCHIMBAJI WA MADINI YA URANIUM KATIKA KIJIJI HICHO.
MDEE ALISEMA MKATABA HUO NI WA MALIPO YA DOLA 6 MILIONI ZA MAREKANI MILIONI 6  AMBAZO ZITALIPWA KWA AWAMU MBILI YA MALIPO YA DOLA 3 MILIONI KWA KILA AWAMU.

No comments:

Post a Comment