Sunday, May 27, 2012

VURUGU KUBWA HUKO ZANZIBER

INASEMEKANA VURUGU KUBWA ZIMEZUKA HUKO VISIWANI ZANZIBAR BAADA YA WANACHAMA WA KUNDI LINALOPINGA MUUMNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR LINAL;O JIITA "UAMSHO" IKIWA NI HATUA ZA KUPINGA KUKAMATWA KWA KIONGOZI WAO NA KUFIKISHWA KITUO CHA PILISI KWA KOSA LA KUFANYA MKUTANO WA HADHARA BILA KIBALI.. VURUGU  HIZO ZILITOKEA KATIKA KITUO CHA POLISI CHA MADEMA. HALI HIO ILIPELEKEA ASKARI POLISI KUTUMIA MABOMU YA KUTOA MACHOZI ILI KUWATAWANYA WAVAMIZI HAO WALIOKUA NA SILAAHA ZA JADI KAMA MAPANGA, MUNDU, MAWE NA MARUNGU.

No comments:

Post a Comment