Wednesday, May 16, 2012

MR LIVERPOOL KUIONGOZA ENGLAND

STEVEN GERALD YUKO MBION KUCHAGULIA KUIRITHI MIKOBA YA JT WA CHELSEA KAMA NAHODHA WA SIMBA WA TATU (TIMU YA TAIFA YA  ENGLAND) BEST OF LUCK BROTHER

WAKATI HUO HUO KOCHA MPYA WA KIKOSI CHA ENGLANG MR HUGDSON AMEMJUMUISHA NAHODHA WA ZAMANI WA TIMU HIYO JOHN TERRY ILIHALI AKIMUWACHA RIO FREDNAND  HUKU AKITOA SABABU AMBAZO MASHABIKI WA TIMU HIYO WANAZIONA KAMA NI "FINYU"

No comments:

Post a Comment