Thursday, February 9, 2012

CAPELLO ABWAGA MANYANGA

COACH WA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND FABIO CAPELLO RAIA WA ITALY TOSA DILI YA KUENDELEA KUIFUNDISHA TIMU YA TAIFA YA ENGLAND. HAIJAFAHAMIKA ZAIDI NINI KIMEPELEKEA YEYE KUFIKIA UAMUZI HUU LAKIN INAAMINIKA NI KUTOKANA NA HALI ILIVYO PAMOJA NA KAULI ZAKE JUU YA BAADHI YA WACHEZAJI WA TIMU YAKE AKIWEMO "JT" JOHN TERRY,

No comments:

Post a Comment