Thursday, January 5, 2012

25 WAFA NCHINI FILIPINS

TAKRIBANI WATU 25 WANAKADIRIWA KUPOTEZA MAISHA KATIKA MAPOROMOKO YA ARDHI YALIYOTOKEA KUSINI MWA NCHI HIO. WENGINE MAMIA WAMEKWAMA CHINI YA ARDHI. MAPOROMOKO HAYO YAMETOKEA KATIKA MAENEO YA MACHIMBO, NA INAAMINIKA MAPOROMOKOM HAYO YAMETOKANA NA MVUA KUBWA ZINAZONYESHA MFULULIZO. TAARIFA ZAIDI TUTAENDELEA KUWALETEA...................

No comments:

Post a Comment