Saturday, December 31, 2011

Liverpool 3 - 1 Newcastle

MAGOLI YA BELLAMY NA GERALD YAMEIPAISHA TIMU YA LIVERPOOL HADI NAFASI YA TANO KATIKA MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA ALMAARUFU EPL. HILO LIKIWA NI BAO LA TATU LAKUKAMILISHA USHINDI WA SIKU WA LIVERPOOL LAKINI PIA LILIKUA NI BAO LAPILI KWA KIUNGO WAO HODARI AU KAMA WENYEWE WANAVYOMWITA "MR LIVERPOOL"Steven Gerrard scores Liverpool's third goal

No comments:

Post a Comment