Monday, December 26, 2011

JOSE MOURINHO NJIANI KUREJEA UINGEREZA

KOCHA WA TIMU YA REAL MADRID MRENO JOSE MOURINHO AMEKIRI KWAMBA YUPO NJIANI KUREJEA KATIKA LIGI KUU YA UINGEREZA LAKINI HAJATANABAISHA KWAMBA ATAREJEA KWENYE KLABU GANI ZAIDI YA KUSEMA ATAENDA KATIKA KLABU KUBWA KATIKA LIGI HIYO. KOCHA HUYO MWENYE VITUKO AMEJINASIBU KWAMBA YEYE NI "JINIAZI" WA SOKA.

No comments:

Post a Comment