Tuesday, December 27, 2011

ETHIOPIA YAWAPIGA "NYUNDO" WAZUNGU WA WILL

MAHAKAMA NCHINI ETHIOPIA IMEWAHUKUMU RIA WAWILI WA SWEDEN KWAKUINGIA NCHINI HUMO KINYUME NA TARATIBU. IMEDAIWA MAHAKAMANI HAPO YAKUWA WAZUNGU HAO WALIINGIA NCHINI HUMO KINYEMELA NA WALILETWA NA KUNDI LA WAASI LA Ogaden National Liberation Front (ONLF). KATIKA UTETEZI WAO WALIJITETEA YAKWAMBA WAO WALIINGIA NCHINI HUMU ILIKUFUATILIA MAENDELEO YA KAMPUNI MOJA YA KUTOKA SWEDEN NA WALIJUA KUFANYA HIVYO NIKOSA KISHERIA NA PIA WALIKUA NA WASIWASI YA KWAMBA SERIKALI YA HUKO ISINGE WARUHUSU KUINGIA NCHINI HUMO

No comments:

Post a Comment